Sunday 3 March 2013

Wakenya mujue kua Raila ndio dawa ya ukabila

           Ukabila ulimea mizizi kwa kuwa na Rais wa kwa ambae alijali sana mali na pesa kuliko utu na ukimusikiza katika hotuba zake ambazo nimeziweka kwa timeline yangu ya facebook audio utamusikia Jomo Kenyatta alivyo kuwa namaneno mazuri kwajukwaaa lakini sivyo ndivyo ilivyokua hali halisi.


           Kwakila jamii iko watu wazuri na wengine wabaya lakini wenzetu wakikuyu idadi kubwa yao ilikua na iko na ukabia ndani ya damu.


         Akuna kabila 100% zuri lakini  niukweli usiofichika ukimupa mkikuyu cheo na umupe nafasi 42 umwambie aweke watu  basi bila aibu ataweka kabila lake.Ata kama umemwambia aweke makabila yote 42 kila kabila achukue mtu basi atatafuta njia ata ikibidi abadilishe mtu kabila atabadilisha.

        Ivyo leo fanyeni mamuzi na mamuzi nikumupigia Raila Amollo kura

No comments:

Post a Comment