Thursday 7 March 2013

Tujikite kwa Historia

        Wakenya tujikite kwa historia ili kujua uko tunakotakwa kupelekwa ni Mabwenyenye,mafisadi

historia aidanganyi usema kweli nanilazima tukumbuke historia ilivyo nakama ujui historia ilivyo uliza watu waminifu watakwambia usisome vitabu uliza na utambiwa ukweli ulivyo

       IEBC na Jubilee wajaribu kuishimu wananchi na sheria inavyo elekeza,

Nijambo lakusikitisha kuona wasomi wetu apa kenya hawasimamii haki ata leo umulize Profesa au mtu yeyote msomi awe Muhandisi au Dr na umupe pesa basi atakama unamakosa hatokwambia kwakua wewe unapesa.
      

No comments:

Post a Comment