Friday 1 March 2013

Kulindana maslai

     Kenya nisehemu ambayo viongozi ulindana kwa maovu na yeyote ambae anaingia apo upewa  pesa chafu ili awe mmoja wao.

     Nijambo linalokatisha tamaa kuona 4 march 2013 wakenya kupotoshwa na kuaidiwa mengi ambayo
yatatufanya tubaki kua nyuma na ukabila zaidi na zaidi.

    Ivi tunageuzwa geuzwa mara ngapi?

Kila panapo karibia uchaguzi damu ina mwagika kwa kutaka kujifaidisha zaidi mtu na marafiki zake sote twaelewa yakua kila libaya latokana na Rais asie kua na utu na asie kua na imani ya kiroho apa namanisha asiejua kuna kesho kwa Mwenyezi Mungu

No comments:

Post a Comment