Monday 4 March 2013

Kuna mchenzo unaendelea apa kwa uchaguzi

        Ni wazi kua kuna mchenzo unaendelea apa sehemu zengine line zinasonga haraka lakini sehemu zengine ina enda pole pole jiulize kuna nini apo na mashine nizile zile.

        Niwazi kuna kitu kinaendelea apa

No comments:

Post a Comment