Saturday 2 March 2013

CORD IMEONYESHA NIA YAKUTUSAIDIA

Raila Amollo ameonyesha nia yakutusaidia Kenya na amepitia mengi mabaya kwa kutaka kuleta mabadiliko Kenya moyo unauma sana kuona watu ambao walafi nawabinafsi wanatumiwa ni hao hao madui wa masikini kuvuruga ukweli.

Tukae nakujua Jubilee niya watu wa daraja legine kabisa ambao hawatilii maanani mlala hoi ila wanajuana wao kwa wao nasituna washabikia kama mazuzu

No comments:

Post a Comment