Saturday 16 March 2013

MIKE "SONKO" MBUVI YUKO KWA "YOKI "

       Yoki ni "ijoki" sina jina lake kamili lakini utumiwa kufungia Ng'ombe ili ikokote gari la Ng'ombe "ikasya"

      Basi Sonko munakumbuka kesi nyongi sana zilimuandama?Hii ilikua ana pewa misukasuko hio ili awe mmoja wao.

      Sote twajua Kenya imekua kwa mikono ya watu fulani,ivyo wao wakikutaka uwa wanakupa misukasuko ili usalimu amri

      Mtu anasema ushikwe ili aje kukutoa ndio umuone kua mzuri wako na niyeye alie tumana ushikwe.

Msishangae kumuona Sonko yuko upande huo aliopo,

   Apa wanataka kumuingiza Johnstone Muthama,Ubaya wetu wakenya atusaidii mtu anapo banwa ni sisi kuwasaIDI

Uchaguzi wa Urais ulikua vurugu mechi

        Uchaguzi wa Urais ulingia dosari nyingi sana,Kenya twaelewa kupiga kura ni haki ya kila mkenya na Kenya chini ya hii katiba mupya kila mtu ana haki yake ya musingi.

        Habari nilinzo pata vuvuzela,fujo na balaa ilitokea 3am 4 march 2013,Watu Githurai nanasikia ni kwote sehemu za Uhuru watu walipigiwa makelele wamuke wende kupiga kura.
  
       Na ilipo fika 11am 4 march 2013 basi kila mtu alilazimishwa kuonyesha kidole kama amepiga kura na ukikutikana una wino wakupiga kura basi biashara yako ili haribiwa kabisa.

   JE IEBC ILIENDESHA UCHAGUZI KWA NJIA YA HAKI?IWAPO WATU WALILAZIMISHWA KUPIGA KURA.

     Nawengine wakapoteza maisha,hii ilifanywa Pwani kutishia watu wasijitokeze kwa wingi kwakua ni sehemu iliojulikana kua  ni sehemu ya Raila,apa kila kitu kilipangwa kikapagika kwa vikao vyao vingi tu walivyo vikaa kabla ya uchaguzi.

    IEBC NI TUME AMBAYO ILITEGEMEWA KUA ITAENDESHA UPIGAJI WA KURA KWA NJIA YA HAKI NA UWAZI,UCHAGUZI HUU AUKUWA WA HAKI NA UWAZI KATAA KUBALI

MSIKUBALI KUTUMIWA KUKWAMISHA JUHUDI ZA MASINI WENZETU KUJIKOMBOA

      Kila kitu kiko wazi apa hizi ni juhudi za wachache walio nacho kupinga hali ya mkenya masikini,Nina hakika wenzetu wako mbele kwa kutanguliza pesa.

     Laikini sisi mshikamano wetu utatukomboa,Tuwe wajanja nakuchambua juhudi yeyote

Hon Johnstone Muthama kusema ni haki yake ya msingi na haiwezekani yeye kutishiwa maisha wakuongea ukweli.

     Mkae mjue kuna vitisho vingi kila mahali ata PS's wanatumiwa lakini musi hofu kuongea ukweli si ku "hate speech" matamushi ya chuki nikusema piga,ondoa lakini ukweli hauwezi ata siku moja ukageuka kua "hate speech"

Wakenya tujiandae kwa maandamano ya "AMANI"

      Mandamano si uvunjaji wa amani bali ni njia moja ya kuonyesha kutoridhishwa ni mamuzi fulani au mambo yanavyo endeshwa.

       Tunajua kuwa kuna kundi ambalo limekua likifaidika ni uwongozi ulioko Afrika,kwakua mambo yao yanawaendea.

       Ebu geuka apo ulipo na uangalie au ukumbuke vitu vilivyo kua tulipo pata uhuru 1963 na sasa

1;Mabasi ya kutoa huduma "KBS" hayaikua hivi,kuna watu ambao kazi yao ni kuiba na kufilisi ili wawe na biashara hio.
Matatu ndio zime wekwa ili kukinyesha nauli zina pandishwa na kukiwa na sikukuu au chochote kile

2;Sipitali zimekua aziendeki zile za umma madawa zinahamishwa kwakupelekwa kwa za binafsi,
3;Watu wamekua wanyakuzi wa chochote cha umma
4;Gari la moshi kama mukumbukavyo walikua wakitoa huduma mara 4 kwa siku "train "ya Mombasa ambayo ilikua ikiondoka 6pm na 7pm Mengine 2 Kisumu kila siku bila ya kuchelewa,Yako wapi leo?
5;Bandari wanaimezea mate hao hao ndio wanaiba alafu wasema Bndari aileti faida

Friday 15 March 2013

ATUPENDI KUSEMEWA

      Kuna watu ambao midomo yao utumika kufunika ukweli,Musiwe muna kimya mtu kuwasemea alichopewa ale pekeyake,Ukombozi Kenya watakiwa tunganishe nguvu.

     NGO's,Vikundi fulani au watu wanao jiita hivi au vile wakienda kwa vyombo vya habari FM Radio's,TV na magazeti wanatumika kufunika uwonzo wa kupora haki yetu apa Kenya

YAPO MAELEZO UPO USHAHIDI WALIOTOA MAGIZO

     Yapo maelekezo kua mtu fulani apa kwetu Kenya asitawale,Niwazi nguvu ya aina yoyote ili muradi mtu X na Y asiwai tawala.

     Yapo maelezo upo ushahidi waliotoa maginzo

Wangombea X X atuwataki.

Kuna watu amboa utengenezwa kuharibu au walio tengenezwa waweke pingamizi wapo munawajua vizuri sana mfano hai ni Livondo au Tuju,Mudavadi,Kenneth na group yote ilimuradi Raila Amollo asiwe Rais apa kenya hali hii nituipinge kwa nguvu yote 

KULIKUA NA TARIFA ZA KIMAPEMA KUA KURA ZITABADILISHWA ZIWE ZA JUBILEE UKO VITUONI VYA KUPIGA KURA

        Kulikua na tarifa za awali kua Jubilee walipanga kuwanunua baadhi ya mawakala wa CORD na kubadilisha kura masandukuni kwa baadhi ya sehemu na kukukwamisha baadhi ya sehemu.
   
Nyote mulishuhudia kura za Uhuru sehemu alikua akipata zaidi ya  70,000 au 90,000 na sehemu zake Raila akishinda ulisikia 30,000 au 20,000 huu ni mpango ulio sukwa ni wakuu kando ya pazia mkuu wao akiwa Moi ndio maana walikwamisha mitambo kimakusudi ili warudi kwa zama zake.

KUNA WASHAZOEA KUTUFINYILIA IVYO MABADIKO WANA YAPINGA KWA NGUVU ZOTE

      Lazima tukubali tunapo kwenda kwa mabadiliko kuna watuumia na mabadiko ayo kwakua wamezoea kula,kuporara na kunyakua.

     Kuna watu hawawezi kuishi mabadiliko kwa kua washazoea kua juu ya sheria

IEBC IMETUKOSEA SANA

      Independent Eletoral and Boundaries Commission and delimitation of electoral units

IEBC IM SANA IMETUVUNJIA UTU WETU UCHAGUZI LIKUA NA DOSARI NYINGI NA KUBWA LAKINI WAKAPUUZA

Wednesday 13 March 2013

UNAFIKI WA WAZI

Iwapo vile Philip Kaloki amesema "Kamba professional leaders diassociate themseves from cord" mkae mjue hawa ni watu wa maslai na niwanafiki na afadhali kua na adui kuliko kua na rafiki mnafiki,mkae mjue uyu awezi kusema hivi peke yake inaonyesha kua
   
Kenya wengi wetu nimaslai tu ndio tumeweka mbele katika misukosuko hii je niwakati wakushikamana au ni wakati waku faidi madui wenu.
    mtu akisema amebadilika awe amebadilika kweli sio kutuchezea shere

Binadamu wengi uwa wanafiki

    Nivizuri kumupa mtu nafasi anapo kuomba nafasi ya yakubadilika baada yakua mda mrefu kama mtu asie na musimamo.
      Lakini ni jambo libaya mtu uyo uyo asipo badilika na kua na musimamo.

Kama nikweli vile nisikiavyo kuhusu Philip Kaloki

YAKUA AMESEMA "KAMBA PROFESSIONAL LEADERS DISASSOCIATE THEMSELVES FROM CORD"
 HUU NI UNAFIKI WA HALI YA JUU,NAWAFAA KULAANIWA NI WAKENYA WANGAZI ZOTE

CORD ALLIANCE HIGH COURT PETITION

    Alliance seeking orders to get documents from IEBC and Safaricom at Milimani law courts Kenya

Saturday 9 March 2013

Si Wakenya bali ni Mafisadi

     Ingekua ni sauti ya wakenya atunge lalamika lakini apa pesa imetumika kuwaonga IEBC na marani wao vituoni kwote ata mashinani.
     Apa imefanyika jambo likubwa sana na mtu kupewa milioni moja ni pesa nyingi sana.Kulikua na wengine walio nunuliwa ata 5000ksh ulikua wangaliwa wewe wafaa pesa ngapi na ikowatu walio pata milioni 2,
     Run off pia wata onga ila ije watu kutoka inje kusimamia uchaguzi toka chini WAKENYA SISI KWAKUPENDA PESA TUMEZIDI WA NIGERIA

Wajinyakulia Urais au Urais waporwa KENYA

       Si wakenya bali ni tamaa ya Pesa,Raila hana pesa za kupora cheo lakini Uhuru anazo nyingi tu,ivyo amekamilisha kujipatia Urais leo 9 march 2013

IEBC YA IRIDH ECK KWA MATENDO

      IEBC imerithi ECK tena wengi wasema hii IEBC ndio imefaidi sana ECK official walikula milioni 1 kila mtu hii nasikia imefikia mabilioni yametumika toka mashinani mpaka apa
     Baadhi ya wakala wa CORD walikua wanapewa pesa mpaka mtu analia kwa furaha

IEBC Issued Uhuru with his certificate

    IEBC has issued Uhuru with his certificate,lakini kuna kesi kotini iliowekwa kwa madai ya ubadilishaji kura

Former Speaker Ole Kaparo atoboa siri yao

      Francis Ole Kaparo;We have brought different players in rigging digitaly

Former President Moi congratulates Uhuru for rigging

   Former President Daniel Arab Moi congratulates Uhuru Kenyatta for his win,Itakumbukwa vyema
1;Mudavadi
2;Peter Kenneth
Walijipanga ili kuakikisha kua mumoja wao amechukua Urais

Raila address the media

   Raila Amolo gave a touching speech

Raila Atoa hutuba kali

     Mgombea wa Urais Raila Amollo Odinga atoa hutuba na kusema ataenda kotini

Thursday 7 March 2013

IEBC KAMA AIONI CORD KUCHEZEWA RAFU

     IEBC WAFAA KUCHEZESHA HII MECHI  UPYA,BAINA YA RAILA NA UHURU BILA IVYO BASI WASIWALAUMU WAFUASI WA CORD.

AMANI "PEACE"

    Hii utakiwa  kuwekwa ni muhusika mkuu serikali au chombo ambacho kina usika kwa mugogoro huo apa IEBC inausika 100% kuweka amani

   IEBC IWEKE AMANI KWA KUAMUA HAKI NA HAKI NI MARUDIO YA KURA ZA URAIS PEKE YAKE

Tujikite kwa Historia

        Wakenya tujikite kwa historia ili kujua uko tunakotakwa kupelekwa ni Mabwenyenye,mafisadi

historia aidanganyi usema kweli nanilazima tukumbuke historia ilivyo nakama ujui historia ilivyo uliza watu waminifu watakwambia usisome vitabu uliza na utambiwa ukweli ulivyo

       IEBC na Jubilee wajaribu kuishimu wananchi na sheria inavyo elekeza,

Nijambo lakusikitisha kuona wasomi wetu apa kenya hawasimamii haki ata leo umulize Profesa au mtu yeyote msomi awe Muhandisi au Dr na umupe pesa basi atakama unamakosa hatokwambia kwakua wewe unapesa.
      

CORD JUANENI TUMIANENI FRIEND REQUEST KWA FACEBOOK

    Sisi atutaki fujo lakini wakituchokoza watajuta atutapigana lakini Jubilee watajutia atua ya sisi atukatai kushindwa lakini tushindwa "fair game"

HABARI ZILIZO NIFIKIA HIVI PUNDE NI MBAYA KUNA MIPANGO AMBAYO SIMIZURI

     Kuna habari mbaya nimepata hivi karibuni ivyo wakenya amukeni nakumuokoa Raila Amollo sisi tunacho taka nimarudio
     Kura walipanga kuiba tangu kitambo na zishaibiwa tangu sehemu zilizo toka kwa ushirikiano na mawakala wetu wa CORD nandivyo tulivyo sisi binadamu kuweka pesa mbele ya haki.
 

YAANI PESA TUSIKUBALI IWE JUU YA HAKI

Raila Amollo asaidiwe

    Raila tumusaidie sasa kwakusema ukweli apa watu wameungana kumumaliza hiyo ikowazi.Namupango huu walipanga mapema

Wakenya Mtu akiwa na chochote awaeleze wandishi wa habar wa inje

      Wakenya mkitaka uonevu uishe apa muwaeleze wanahabari wa inje wako hapa kuwasaidia kuondokana na uonevu wa aina yeyote.
      Musi poteze nafasi hii Raila Amollo amefanyia hii Kenya mambo mengi ivyo sisi tumusaidie kwa kueleza ulimwengu kupitia wanahabari.
      Musiogope waelezeeni muliyoyaona kwa vituo vya kupiga kura

1;Kucheleweshwa kwa makusudi kwa mistari
 2;Kupanga line na ukifika mlangoni unambia hii si sehemu yako ya kupiga kura enda uwaze tena upya na uyouyo IEBC ndio aliokwambia ukapange line apo

Kenya Presidential Results 8 march 2013/4;40a.m

 Uhuru 4 million 104k
 Raila 3 million  680k
 Mudavadi          273k
 Kenneth               49k
 Dida                    35k
 Karua                   28k
 Kiyapi                  26k
 Muite                      9k

Wana Habari wangundua IEBC Wamekua wakirudia kusoma matokeo

        Leo usiku wana habari wamengundua tume ya uchaguzi IEBC imekua ikisoma matokeo mara mbili haswa ya mgombeaji wa Jubilee Uhuru Kenyatta

BREAKING NEWS/CORD WAMEVUNJA UKIMYA

    ASANTENI WANA CORD KWA KUAMUKA HIZI KURA ZILIIBWA TANGU KITAMBO

Asanteni sana wana CORD KWA KUAMUKA

    Jubilee ni wezi musiwaonee haya iwapo waweza tumia pesa kuwaribuni ata mawakala wa CORD hio ilikua kitu kibaya sana.
     Sasa ni lazima uchaguzi urudiwe tena

BAINA YA Raila Amollo na Kalonzo Musyoka

Thank you CORD,FOR WAKING UP

     Thank you CORD for opening your eyes

Wednesday 6 March 2013

We ha decided to be patient and wait,but take evidence

       Tume amuakua wavumilivu na kugoja matokeo lakini atutaki maonevu Mombasa tumechukua wana CORD
       Lakini tumewaona kina Balala waki mbweka ili kuonyesha kua hawajatendewa haki sisi pia nihaki yetu sehemu ambako tumeona atujatendewa haki tubweke

     Utulivu uletwa ni msimamia kitu akichukua hatua hii peke yake ni sababu Tosha yakutupa Jubilee out

WAKENYA MATOKEO YOYOTE CHUKUA PICHA NA UTUME KWA FACEBOOK

      Wakenya matokeo yeyote chukuweni picha na tujulishane haraka iwezekanavyo hii ni KENYA MUPYA TUMEKATAA UMASIKINI.

   MNAONA BILA HAYA WALA AIBU WAMEANZA KUTUMIA MGO's

ETI TUVUKE,
      SWALI LAKUJIULIZA NIWAVUKE NANANI?

NANANI AMEFATHILI.
    SISI TUMEAMUA ATUTAPIGANISHWA NI MUTU YEYOTE LAKINI MDOMO TUNAO KUONGEA PALE TUKIONA Raila anaibiwa

APA TULIPO FIKA NITUSAIDIANI WANA CORD KUPASHANA KILA KITU

       Wakenya twaelewa kua ni nguvu za pesa na masikini ivyo sisi masikini shida zetu zitulete pamoja ili kumuokoa Raila Amollo

      Uiona chochote mjulishe mwezako ila usimusingizie mwanzako kwakua sisi tunajua sote tu safarini uwezi jua safari yako itakua lini

      Nausifikiri wewe mimi au yule akiwa mzima ndio sitokufa au mtu akiwa na umri mdogo kifo akichagui,ndio maana nasema sema ukweli mandiko imetukanya

   USI MSINGIZIE JIRANI WAKO URONGO NA SISI WAISLAMU TUMEKANYWA KUZUA

MATOKEO YA URAIS RASMI

     MUHORONI

Raila

45,919 votes

Uhuru

1286

Matokeo ya Urais

      SIAYA

Raila Amollo

36,600 votes

Uhuru

116votes

            KISUMU EAST

RAILA 44,956 VOTES

UHURU  374

Matokeo rasmi ya Uras Kenya/Official presidential results

Kajiado South

Raila Amollo

Raila 17,500

Uhuru 24,000votes
    
MWATATE
    
Raila 19816        Uhuru   1888votes

Official presidential Results

       Wundanyi

Raila Amollo  16,592

Uhuru Kenyatta  1327

           DIASPORA
 

Raila Amollo  1224

Uhuru Kenyatta 951

Rongo 
Raila 3372

Uhuru  103

Kajiado Central
Raila 1955

Uhuru14,thousand and something

Vuguvugu Tuvuke,liliwekwa makusus kwa ivi linavyo fanya sasa kutuliza mambo ili wavyke na Uhuru

       Niwazi kua Jubilee ilikua imejiandaa vilivyo,Mnasikia ili linalo jiita vuguvugu la tuvuke ni sawa na K24 "K" Usemekana ni Kikuyu,namimi nakubaliana nawalio gundua hili.

      Nitabia ya mafisadi kujiandaa kwakutumia NGO's na Wanaharakati nachochote kile ili muradi wasiondoke kwa utawala.

     Nyote ni mashahidi ya nauli zilizo pandishiwa waliokua wanakwenda nyumbani kupi kura.huu sio utu kwakua wao ndio wangekua wakwanza kusaidia wakenya kwenda kupiga kura lakini walipandisha maradufu


       Sehemu ya 350ksh wamelipisha 800ksh au 1000ksh.hii haikua haki na huu niunyama

Lakini niwakumbushe tu Western KENYA NIWAPONGEZE BODABODA WALIJITOLEA NAKUSAFIRISHA WATU BURE HUU NIMFANO WA KUINGWA NI KILA MKENYA MWENYE KUMUOGOPA MUNGU NA KUJUA KUA KENYA KWANZA.

Nijambo lakutia moyo napongezi watu wa KISUMU BONDO NASEHEMU ZOTE MULIZO SAIDIA RAIYA

        MUNGU AWABARIKI

We have detected many MAKOSA

   We have detected lots of irregularity the way some of IEBC Clerks,the way they was handling things

Wakenya kama kunamutu mwenye picha yeyote ya uchaguzi apige

       Wakenya popote pale ukiona chochote piga picha kizuri au kibaya piga picha eka kwa timeline yako ya facebook

Matokeo yanaendelea

   Raila 2,252,669 votes

   Uhuru 2,8

Sajiliwa ni 14,350,824

zilizo isabiwa mpaka sasa 5,696,721 UHURU ANAONGOZA KWA KURA ZAIDI YA 600,000

MUMESIKIA MATAMUSHI YA NAJIBU BALALA MATAMUSHI YAKE

      Mambo ya kuongea Balala alivyo ongea ni wazi Uhuru ajakoma kwakua Najibu Balala hawezi kuongea haya bila green light kutoka kwa  Uhuru.

    MUNGU NI MWEMA NA AFICHI MTU MNAFIKI KWOTE KWA MIKUTANO YAO WALIMIZA AMANI,KUNA WATU SUNGURA AMBAO UWACHA WATU WENGINE WAKAFANYA MAMBO YAO.
  
     WAKENYA MUSIFIKIRI HII NI BURE KUNA KUPANGWA APA MATANGAZO AYA YAMERUSHWA NA K24 LIVE.

   Namwajua hii ni sehemu ambayo imewatupa vigogo kama Makwere,Balala ,Kajembe

IEBC PUSHED THE DELAY BLAME TO SAFARICOM BUT SAFARI HAS SEND MESSAGE TO IEBC

         Tume ya uchaguzi ili lalamikia Safaricom kua wao ndio walio sababisha poor network ,Wakadai hawakuweza kupokea majibu kutoka vituo vyao lakini baati nzuri Bob mkuu wasafari alisikia iyo na akasema safaricom wasilaumiwe hii kwakua waliwawekea mitambo mahususi yakufanya hio kazi

IEBC,Independent Electoral and Boundaries Commission and delimitation of electoral units

       IEBC system had been hacked into from day one (4 march 2013)


The  programmer was given instruction to input a permanenent difference between Uhuru Kenyatta and Raila Amollo with more than 500,000 votes.

      It is now open and clear that something was pre-planed by EVIL KENYA POWER

Tuesday 5 March 2013

Tuwe na itikadi ya Kitaifa na sio ukabila

        Wakenya nivizuri tuwe na itikadi ya kitaifa kama kwelintu ili kung'owa mzizi wa ukabila na kutoweka pesa mbele.

         Utu na utamaduni wa binadamu

Kujenga usawa kati ya jamii

KUPAMBANA NA UMASIKINI NI.....

      Kupambana na ukoloni mambo leo ambao unaletwa au umekuzwa ni wachache baina yetu watu ambao hawajali masikini na wengi wanakufa kwakukosa tiba,chakula na utovu wa usalama

      Umoja mshikamano na amani ndio kitu kitatukomboa kutoka dimbwi hili tulilo nalo la umasikini iwapo tuna shida zinazo fanana iweje tusiwe pamoja kutetea haki

Misingi ya kujitegemea

       Nivizuri kujua na kujifunza kujitegemea kimawazo na kivitendo nakujua kuchambua mambo hili liko hivi kwanini na kwanini hiki kimetokea haya namengine mengi ya msingi wakujikomboa kutoka kwa mikono ya mafisadi iwapo tuko teyari kujikomboa.
     
     Si jambo la busara kulalamika bila ya ukweli unapopata ukweli ndipo ulalamike kwakua hakuna mtu au nchi yeyote ambayo  yaweza pingana na ukweli
   
      Tuajiribu kujiteangea dakika 5 ukisikia kitu unachambua uyu kwanini amesema hivi au ananini au kusudio lake ni nini?

Amani na Utulivu kenya

      Amani uletwa kwa kutenda haki kwa kila mtu ni vizuri kuambiana ukweli kwakumuogopa MUNGU ni vizuri kuambiana ukweli kama kweli sisi tuna dini.

      Kenya ni nchi isio ongozwa kwa mizingi yakidini lakini sote dini zetu kuu ni Kristo na Islam ivyo lazima tujilinde na dhambi ya dhulma kumuthulumu mtu ni jambo lisilo kubalika.

       Hawa wanatwambia "Peace Peace Peace" Wao wao ndio wanao leta uvunjifu wa Amani kwa kufanya mambo ndivyo sivyo tumeshuhudia  watu wakiwekwa kwa laini za kupiga kura kwa masaa nawakifika kwa mulango wanambia si apa anza tena laini upya.hii ni haki?
   
    Atutakubali kunyamazishwa kwa kuambiwa tusivunje amani,sisi atuvunji amani ila twataka jawabu za wazi.
      Musitufanye watoto wadogo kua atujui munapika nini,tunaelewa mushapika na munagojea watu wachoke ndio muanze kusema ,oh ilikwenda ikarudi atutaki.
      Niwazi sasa IEBC na sehemu kubwa walioko kwa serikali wana taka kudhulumu CORD HILO NIJAMBO LISILO KUBALIKA KABISA

Vigogo walio angushwa

    Walio poteza viti vyao ni

Amos Kimunya

Charity Kaluki Ngilu

Gitobu Imanyara

Anya'nyong'

Ali Makwere

Danson Mgatana

Kenya Election/Uchaguzi wa Kenya

     Uhuru Kenyatta  2,753,414kura(votes)  Raila Amollo Odinga 2,165,394 kura (votes) hii nikufikia saa 7;39pm

Kenya Election

Monday 4 March 2013

Jana Polis 4 Waliuliwa miritini Mombasa ni jambo baya sana

           Nivyema kuwa kuwa na utu akuna mtu yeyote yule afaa katisha maisha ya mtu ni jambo ambalo limelaniwa na Dini zote kuu mbili
         Wakristo na Waislamu vitabu vyote vimetaja kuuwa ni dhambi

Jiulize kwanini line za sehemu fulani zinatembea na zasehemu zengine haziendi

         Watu wanapangishwa line jina lina anza na "A" Ushafika kwa mlango unambiwa si apa enda uwanze line tena
      Hii ni ukasirike ndio usipige kura

Kuna mchenzo unaendelea apa kwa uchaguzi

        Ni wazi kua kuna mchenzo unaendelea apa sehemu zengine line zinasonga haraka lakini sehemu zengine ina enda pole pole jiulize kuna nini apo na mashine nizile zile.

        Niwazi kuna kitu kinaendelea apa

Sunday 3 March 2013

UKABILA UMEMEA MIZIZI

     Head of public service Francis Kimemya ebu chunguzuni kazi kuu apa kenya zimekua zikipeanwa kwa kina nani tangu tupate uhuru 1963?


     Na hivi hivi Jomo Kenyatta alikua akitoa hotuba zuri sana kwa mikutano yake lakini alikua anasema aya mchana lakini usiku ana panga yake


      Juzi lamu nimeshuhudia OCPD John Kamau akishirikiana na watu wamadawa yakulevya wananchi wameenda kwake kumushitakia na akapuuza,Je Lamu ingekua Kiambuu angewacha vijana waumizwe kwa madawa ya kulevya?

Wakenya mujue kua Raila ndio dawa ya ukabila

           Ukabila ulimea mizizi kwa kuwa na Rais wa kwa ambae alijali sana mali na pesa kuliko utu na ukimusikiza katika hotuba zake ambazo nimeziweka kwa timeline yangu ya facebook audio utamusikia Jomo Kenyatta alivyo kuwa namaneno mazuri kwajukwaaa lakini sivyo ndivyo ilivyokua hali halisi.


           Kwakila jamii iko watu wazuri na wengine wabaya lakini wenzetu wakikuyu idadi kubwa yao ilikua na iko na ukabia ndani ya damu.


         Akuna kabila 100% zuri lakini  niukweli usiofichika ukimupa mkikuyu cheo na umupe nafasi 42 umwambie aweke watu  basi bila aibu ataweka kabila lake.Ata kama umemwambia aweke makabila yote 42 kila kabila achukue mtu basi atatafuta njia ata ikibidi abadilishe mtu kabila atabadilisha.

        Ivyo leo fanyeni mamuzi na mamuzi nikumupigia Raila Amollo kura

PUUZENI K24 HII NI MPANGO YA KUPIGIA DEBE JUBIL

Hatuna pesa kama walinzo nanzo JUBILEE LAKINI KWA NGUVUU ZA MUNGU CORD ITASHINDA

        Wakenya tujipe moyo sisi atuna pesa za kua na kituo cha TV na Maredio na pia pesa za kununua vyombo vya habari.

        K24 TV NIWAZI ILIANZISHWA MADHUBUTI KUPIGIA DEBE MRENGO WA MAFISADI HILI ALI PINGIKI LIKO WAZI.

 UKITAKA KUJUA KITUO CHA HABARI KIMENUNULIWA ANGALIA MDA UNAOPEANA

1;MUMEWEKEWA RAIS TOFAUTI LAKINI MUKUMBUKE APA Raila ndio anapingwa

Siatia Kusalia kwa kituo chakupiga kura

    Wakenya hizi ninguvu za mafisadi na washirika wao ambao wanasema ni hatia kubaki kwenye kituo cha kupiga kura.

    Mafisadi ufanya kazi kama mafia wao utumia walio madarakani mfano wakuu wapolis wakuu wakuendesha uchaguzi.
   
    Kwakuwapa pesa wakikataa ndio uwatishia maisha walivyo mutishia Cheif Justice Willy Mutunga,si hatia kulinda kura yako.
     Hatiani

1;Kuleta utovu wausalama,namara nyingi polisi ndio uleta utovu wa usalama kwa kutumiwa kufukuza watu.Mkae atua chache kando alafu muchaguane kati yakikundi chenyu watu 2 wawe wana chunga kura kwakuwangalia makarani wasipepese macho kwa nusu saa alafu wengine 2 ivyo ivyo mupaka jioni musiwamini mawakala rahisi kununuliwa group yote

Kenya evil: Protect your PC,MOBILE and Lap Top from Viruses,Sp...

Kenya evil: Protect your PC,MOBILE and Lap Top from Viruses,Sp...:           Not all computer problems come from software bugs and hardware glitches.When you connect your PC to the internet,you open up a who...

Protect your PC,MOBILE and Lap Top from Viruses,Spam and Online Nuisances

          Not all computer problems come from software bugs and hardware glitches.When you connect your PC to the internet,you open up a whole new world of potential dangers viruses spam computer attacks and more
          Fortunately it' easy to protect your computer and your family from these dangers.

All you need to do is a few software utilities and a lot of common sense!

1;Check you facebook account the page you have liked if you see a page that show you like and you don't remember you like then unlike and report the owner of that page.Note the name he/she is using and infor your friends.
  For many do break to your face book account through your email make sure before anything change the passward
   the safety tips continue........ each day

Nivizuri unapoishi ukawa na musimamo

       Mwajua kuna watu ambao uwa na moyo wakukatishwa tamaa upesi,Yaani ukija ukimwambia msimamo wako uko peke yako basi rahisi kuwacha anacho kishikilia na kufuata anayo ambiwa.

      Sivizuri ukawa mtu uweleweki kwakua ukiwa mtu usie tabirika basi watu watakutenga yafaa mtu akibadilika abadilike kikweli kutoka moyoni akuna maana yakua uku auko na kule auko.

     Changamuka nauwe na mashikilio ili watu wakuelewe,sio una almasi yako alafu mtu anakuja na kukwambia iyo yako si alimasi yangu ndio almasi unasema nipe unawachiwa kichupa yaani umekikimbilia tu kwakua kimechongwa vizuri.

     Alafu unabaki unashangilia kama ZUZU!

No need to be with mtu mwenye hana musumamo maishani,Don't please anyone

Saturday 2 March 2013

TENDA UPEWA MARAFIKI KENYA

   Mkenya usifikiri watu fulani ndio wana bidii ya kufanya biashara kwakua biashara zao zinaendelea vizuri sana.

Jua yakua tenda zakuleta chakula magerezani na chochote kile kinacho itajiwa ni sekta zote za serikali wanapeana wao kwa wao

Kenya "CAKE"

       Toka 1963 keki imekuwa ikiliwa na baadhi ya watu lakini Raila ametuakikishia hii tutazika kwa kaburi la sahau.


    WAKENYA TUAMUE 4 MARCH TUENDE KANAAN AU TUBAKI MISRI

Tupungunze uwongo

     Raila tukiangalia historia yake nyuma 2007 inatia moyo pia 2007 -2013 tumepata katiba,Mafisadi ndio wame mkalia kooni na nimupongeze kwakua mvumilivu sana kwakua mafisadi waunganisha nguvu ili kumuharibia jina Raila tulingundua Shebesh kua alikua jasusi (C.I.D)Wa Uhuru Kenyatta lakini kibaya zaidi ni watu kama

    Musalia Mudavadi,NGILU,NYAGA WOTE HAO IMENGUNDULIKA WALIKUA NA UHURU KIMUPANGO.

   Ivi atawewe ungefanya vipi baadhi ya watu unaotegemea walete mabadiliko wakikubali kununuliwa?

Msimukatishe Raila ametoka mbali

Nijambo lakukatisha tamaa kuona pesa inavyo nguvu Raila hana pesa nyingi kama mpinzani mkuu Uhuru lakini tuelewe mtoto wanyoka ni nyoka

Nikiwa na maana kua nyoka akiwa mtoto afundishwi kuuma.

Je mlimuona alivyo taka kugomea mdahalo?

Nyote ni mashahidi wa alivyo shuhulikia lile swala la Sonko Shebesh na Waititu

hivi hivi J.M.Kariuki aliitwa na atukumuona tena uliza wazee swala la J.M Kariuki na ulize alikuwa vipi uyu Jomo Kenyatta

Niwalewale wabaya wetu

     Ukiangalia walio nyuma ya Uhuru Kenyatta ni watu wamaslai nawapo ambao mtu yuko pale kwakua ameshikiwa bunduki ya kuangalia mlima Kenya.

     Wakenya mambo yakutumia nguvu ayaja anza sasa bali yali anza siku za Mzee Jomo Kenyatta yeye ndio aliokua na kikundi kilicho julikana kama ngoroko hiki kilizaa jeshi la mzee na ndicho ichi kilicho na Uhuru

    Ubaya n mambo ya kikundi ichi cha uhuru nicha siri kubwa sana na sivyo kama mujuavyo "MUNGIKI"

    Mungiki si chenyewe bali ni mrengo wa Kikundi ambacho vigogo fulani wapo ndani yake na wapo nusu yao kwa kila ssehemu

1;Jeshi wako wanao mtumikia Uhuru

2;Polisi wako wanao mutumikia Uhuru

3;Navy wapo wanao mutumikia Uhuru

Na Uhru Kenyatta ayuko peke yake Moi,na wengine wengi wako nayeye,na mafisadi wote wako nyuma yake ndio maana .Mumewekewa
1;Peter Kenneth-Simwajua alikua na Tuju

2;Musalia Mudavadi ni kundi hio

Mumewekewa watu wakuchagua ukichagua mmoja kati ya hao basi umechagua Uhuru Kenyatta

Rasilimali zetu zinaingia kwa mifuko ya wachache apa kenya

Kenya ina utajiri mwingi mfano hai ni kahawa hii peke yake yaweza leta mabadiliko kenya lakini ona Joe Nyaga alivyo fanya,Na yupo wapi sasa.

Ubaya ya baadhi ya wakenya wako mbele zaidi kwakuficha ushahidi na apa Kenya ukiwa na mtu juu kwa Rais basi kila kitu kinaenda shuari,na ushahidi unafichwa ata ikibidi kumaliza mtu.

Hali hii Raila tu ndio atamaliza apa

CORD IMEONYESHA NIA YAKUTUSAIDIA

Raila Amollo ameonyesha nia yakutusaidia Kenya na amepitia mengi mabaya kwa kutaka kuleta mabadiliko Kenya moyo unauma sana kuona watu ambao walafi nawabinafsi wanatumiwa ni hao hao madui wa masikini kuvuruga ukweli.

Tukae nakujua Jubilee niya watu wa daraja legine kabisa ambao hawatilii maanani mlala hoi ila wanajuana wao kwa wao nasituna washabikia kama mazuzu

Uchaguzi si huru inavyo elekea watu wengi wanaondoka sehemu zao

Je uchaguzi utakuwa huru ?Kwakua watu wa mrengo wa CORD wanatishiwa maisha ki siri siri. Mini mi naonelea akuna maana yakuwa na uchaguzi hali kama ndio hii.

Mbinu wanao tumia Jubilee ni kama tujuavyo kenya tu tofauti na kila ndugu wako au rafiki yako yuko kwa chama kingine.

Basi wanavyo fanya ni wanamutuma rafiki yako alio kwa Jubilee kuja kukwambia tafadhali hama 4march uende popote na urudi baada ya uchaguzi,eti hali si nzuri,alafu anakwambia iyo ni siri amekuibia.

Usitoke kwakua ukitoka iyo ni kura yako umepoteza

Friday 1 March 2013

Kulindana maslai

     Kenya nisehemu ambayo viongozi ulindana kwa maovu na yeyote ambae anaingia apo upewa  pesa chafu ili awe mmoja wao.

     Nijambo linalokatisha tamaa kuona 4 march 2013 wakenya kupotoshwa na kuaidiwa mengi ambayo
yatatufanya tubaki kua nyuma na ukabila zaidi na zaidi.

    Ivi tunageuzwa geuzwa mara ngapi?

Kila panapo karibia uchaguzi damu ina mwagika kwa kutaka kujifaidisha zaidi mtu na marafiki zake sote twaelewa yakua kila libaya latokana na Rais asie kua na utu na asie kua na imani ya kiroho apa namanisha asiejua kuna kesho kwa Mwenyezi Mungu

Thursday 28 February 2013

Kumama zenu nchi yangu inazidi kufanya mengi

Mzee Jomo Kenyatta alikua mtu asie kua na abu wala fedheha kwa hutuba zake ambanzo nyingi nimezitu

kwa facebook yangu kwa jina  M Rajab Ndothya enda apo  umusikie akitukana watu Kisumu
apa namnukuu

"KUMAMA ZENU" NCHI YANGU INAZIDI KUFANYA MENGI NA ITAZIDI KUFANYA MENGI,SITOKUBALI MTU KUCHEZEA SERIKALI YANGU