Saturday 2 March 2013

TENDA UPEWA MARAFIKI KENYA

   Mkenya usifikiri watu fulani ndio wana bidii ya kufanya biashara kwakua biashara zao zinaendelea vizuri sana.

Jua yakua tenda zakuleta chakula magerezani na chochote kile kinacho itajiwa ni sekta zote za serikali wanapeana wao kwa wao

No comments:

Post a Comment