Wednesday 13 March 2013

UNAFIKI WA WAZI

Iwapo vile Philip Kaloki amesema "Kamba professional leaders diassociate themseves from cord" mkae mjue hawa ni watu wa maslai na niwanafiki na afadhali kua na adui kuliko kua na rafiki mnafiki,mkae mjue uyu awezi kusema hivi peke yake inaonyesha kua
   
Kenya wengi wetu nimaslai tu ndio tumeweka mbele katika misukosuko hii je niwakati wakushikamana au ni wakati waku faidi madui wenu.
    mtu akisema amebadilika awe amebadilika kweli sio kutuchezea shere

No comments:

Post a Comment