Thursday 7 March 2013

HABARI ZILIZO NIFIKIA HIVI PUNDE NI MBAYA KUNA MIPANGO AMBAYO SIMIZURI

     Kuna habari mbaya nimepata hivi karibuni ivyo wakenya amukeni nakumuokoa Raila Amollo sisi tunacho taka nimarudio
     Kura walipanga kuiba tangu kitambo na zishaibiwa tangu sehemu zilizo toka kwa ushirikiano na mawakala wetu wa CORD nandivyo tulivyo sisi binadamu kuweka pesa mbele ya haki.
 

YAANI PESA TUSIKUBALI IWE JUU YA HAKI

No comments:

Post a Comment