Thursday 7 March 2013

Wakenya Mtu akiwa na chochote awaeleze wandishi wa habar wa inje

      Wakenya mkitaka uonevu uishe apa muwaeleze wanahabari wa inje wako hapa kuwasaidia kuondokana na uonevu wa aina yeyote.
      Musi poteze nafasi hii Raila Amollo amefanyia hii Kenya mambo mengi ivyo sisi tumusaidie kwa kueleza ulimwengu kupitia wanahabari.
      Musiogope waelezeeni muliyoyaona kwa vituo vya kupiga kura

1;Kucheleweshwa kwa makusudi kwa mistari
 2;Kupanga line na ukifika mlangoni unambia hii si sehemu yako ya kupiga kura enda uwaze tena upya na uyouyo IEBC ndio aliokwambia ukapange line apo

No comments:

Post a Comment