Saturday 2 March 2013

Rasilimali zetu zinaingia kwa mifuko ya wachache apa kenya

Kenya ina utajiri mwingi mfano hai ni kahawa hii peke yake yaweza leta mabadiliko kenya lakini ona Joe Nyaga alivyo fanya,Na yupo wapi sasa.

Ubaya ya baadhi ya wakenya wako mbele zaidi kwakuficha ushahidi na apa Kenya ukiwa na mtu juu kwa Rais basi kila kitu kinaenda shuari,na ushahidi unafichwa ata ikibidi kumaliza mtu.

Hali hii Raila tu ndio atamaliza apa

No comments:

Post a Comment