Sunday 3 March 2013

Siatia Kusalia kwa kituo chakupiga kura

    Wakenya hizi ninguvu za mafisadi na washirika wao ambao wanasema ni hatia kubaki kwenye kituo cha kupiga kura.

    Mafisadi ufanya kazi kama mafia wao utumia walio madarakani mfano wakuu wapolis wakuu wakuendesha uchaguzi.
   
    Kwakuwapa pesa wakikataa ndio uwatishia maisha walivyo mutishia Cheif Justice Willy Mutunga,si hatia kulinda kura yako.
     Hatiani

1;Kuleta utovu wausalama,namara nyingi polisi ndio uleta utovu wa usalama kwa kutumiwa kufukuza watu.Mkae atua chache kando alafu muchaguane kati yakikundi chenyu watu 2 wawe wana chunga kura kwakuwangalia makarani wasipepese macho kwa nusu saa alafu wengine 2 ivyo ivyo mupaka jioni musiwamini mawakala rahisi kununuliwa group yote

No comments:

Post a Comment