Sunday 3 March 2013

UKABILA UMEMEA MIZIZI

     Head of public service Francis Kimemya ebu chunguzuni kazi kuu apa kenya zimekua zikipeanwa kwa kina nani tangu tupate uhuru 1963?


     Na hivi hivi Jomo Kenyatta alikua akitoa hotuba zuri sana kwa mikutano yake lakini alikua anasema aya mchana lakini usiku ana panga yake


      Juzi lamu nimeshuhudia OCPD John Kamau akishirikiana na watu wamadawa yakulevya wananchi wameenda kwake kumushitakia na akapuuza,Je Lamu ingekua Kiambuu angewacha vijana waumizwe kwa madawa ya kulevya?

No comments:

Post a Comment