Saturday 9 March 2013

Si Wakenya bali ni Mafisadi

     Ingekua ni sauti ya wakenya atunge lalamika lakini apa pesa imetumika kuwaonga IEBC na marani wao vituoni kwote ata mashinani.
     Apa imefanyika jambo likubwa sana na mtu kupewa milioni moja ni pesa nyingi sana.Kulikua na wengine walio nunuliwa ata 5000ksh ulikua wangaliwa wewe wafaa pesa ngapi na ikowatu walio pata milioni 2,
     Run off pia wata onga ila ije watu kutoka inje kusimamia uchaguzi toka chini WAKENYA SISI KWAKUPENDA PESA TUMEZIDI WA NIGERIA

No comments:

Post a Comment