Wednesday 6 March 2013

MUMESIKIA MATAMUSHI YA NAJIBU BALALA MATAMUSHI YAKE

      Mambo ya kuongea Balala alivyo ongea ni wazi Uhuru ajakoma kwakua Najibu Balala hawezi kuongea haya bila green light kutoka kwa  Uhuru.

    MUNGU NI MWEMA NA AFICHI MTU MNAFIKI KWOTE KWA MIKUTANO YAO WALIMIZA AMANI,KUNA WATU SUNGURA AMBAO UWACHA WATU WENGINE WAKAFANYA MAMBO YAO.
  
     WAKENYA MUSIFIKIRI HII NI BURE KUNA KUPANGWA APA MATANGAZO AYA YAMERUSHWA NA K24 LIVE.

   Namwajua hii ni sehemu ambayo imewatupa vigogo kama Makwere,Balala ,Kajembe

No comments:

Post a Comment