Saturday 2 March 2013

Niwalewale wabaya wetu

     Ukiangalia walio nyuma ya Uhuru Kenyatta ni watu wamaslai nawapo ambao mtu yuko pale kwakua ameshikiwa bunduki ya kuangalia mlima Kenya.

     Wakenya mambo yakutumia nguvu ayaja anza sasa bali yali anza siku za Mzee Jomo Kenyatta yeye ndio aliokua na kikundi kilicho julikana kama ngoroko hiki kilizaa jeshi la mzee na ndicho ichi kilicho na Uhuru

    Ubaya n mambo ya kikundi ichi cha uhuru nicha siri kubwa sana na sivyo kama mujuavyo "MUNGIKI"

    Mungiki si chenyewe bali ni mrengo wa Kikundi ambacho vigogo fulani wapo ndani yake na wapo nusu yao kwa kila ssehemu

1;Jeshi wako wanao mtumikia Uhuru

2;Polisi wako wanao mutumikia Uhuru

3;Navy wapo wanao mutumikia Uhuru

Na Uhru Kenyatta ayuko peke yake Moi,na wengine wengi wako nayeye,na mafisadi wote wako nyuma yake ndio maana .Mumewekewa
1;Peter Kenneth-Simwajua alikua na Tuju

2;Musalia Mudavadi ni kundi hio

Mumewekewa watu wakuchagua ukichagua mmoja kati ya hao basi umechagua Uhuru Kenyatta

No comments:

Post a Comment