Wednesday 6 March 2013

IEBC PUSHED THE DELAY BLAME TO SAFARICOM BUT SAFARI HAS SEND MESSAGE TO IEBC

         Tume ya uchaguzi ili lalamikia Safaricom kua wao ndio walio sababisha poor network ,Wakadai hawakuweza kupokea majibu kutoka vituo vyao lakini baati nzuri Bob mkuu wasafari alisikia iyo na akasema safaricom wasilaumiwe hii kwakua waliwawekea mitambo mahususi yakufanya hio kazi

No comments:

Post a Comment