Sunday 3 March 2013

Nivizuri unapoishi ukawa na musimamo

       Mwajua kuna watu ambao uwa na moyo wakukatishwa tamaa upesi,Yaani ukija ukimwambia msimamo wako uko peke yako basi rahisi kuwacha anacho kishikilia na kufuata anayo ambiwa.

      Sivizuri ukawa mtu uweleweki kwakua ukiwa mtu usie tabirika basi watu watakutenga yafaa mtu akibadilika abadilike kikweli kutoka moyoni akuna maana yakua uku auko na kule auko.

     Changamuka nauwe na mashikilio ili watu wakuelewe,sio una almasi yako alafu mtu anakuja na kukwambia iyo yako si alimasi yangu ndio almasi unasema nipe unawachiwa kichupa yaani umekikimbilia tu kwakua kimechongwa vizuri.

     Alafu unabaki unashangilia kama ZUZU!

No need to be with mtu mwenye hana musumamo maishani,Don't please anyone

No comments:

Post a Comment