Saturday 2 March 2013

Uchaguzi si huru inavyo elekea watu wengi wanaondoka sehemu zao

Je uchaguzi utakuwa huru ?Kwakua watu wa mrengo wa CORD wanatishiwa maisha ki siri siri. Mini mi naonelea akuna maana yakuwa na uchaguzi hali kama ndio hii.

Mbinu wanao tumia Jubilee ni kama tujuavyo kenya tu tofauti na kila ndugu wako au rafiki yako yuko kwa chama kingine.

Basi wanavyo fanya ni wanamutuma rafiki yako alio kwa Jubilee kuja kukwambia tafadhali hama 4march uende popote na urudi baada ya uchaguzi,eti hali si nzuri,alafu anakwambia iyo ni siri amekuibia.

Usitoke kwakua ukitoka iyo ni kura yako umepoteza

No comments:

Post a Comment