Friday 15 March 2013

KUNA WASHAZOEA KUTUFINYILIA IVYO MABADIKO WANA YAPINGA KWA NGUVU ZOTE

      Lazima tukubali tunapo kwenda kwa mabadiliko kuna watuumia na mabadiko ayo kwakua wamezoea kula,kuporara na kunyakua.

     Kuna watu hawawezi kuishi mabadiliko kwa kua washazoea kua juu ya sheria

No comments:

Post a Comment