Tuesday 5 March 2013

Amani na Utulivu kenya

      Amani uletwa kwa kutenda haki kwa kila mtu ni vizuri kuambiana ukweli kwakumuogopa MUNGU ni vizuri kuambiana ukweli kama kweli sisi tuna dini.

      Kenya ni nchi isio ongozwa kwa mizingi yakidini lakini sote dini zetu kuu ni Kristo na Islam ivyo lazima tujilinde na dhambi ya dhulma kumuthulumu mtu ni jambo lisilo kubalika.

       Hawa wanatwambia "Peace Peace Peace" Wao wao ndio wanao leta uvunjifu wa Amani kwa kufanya mambo ndivyo sivyo tumeshuhudia  watu wakiwekwa kwa laini za kupiga kura kwa masaa nawakifika kwa mulango wanambia si apa anza tena laini upya.hii ni haki?
   
    Atutakubali kunyamazishwa kwa kuambiwa tusivunje amani,sisi atuvunji amani ila twataka jawabu za wazi.
      Musitufanye watoto wadogo kua atujui munapika nini,tunaelewa mushapika na munagojea watu wachoke ndio muanze kusema ,oh ilikwenda ikarudi atutaki.
      Niwazi sasa IEBC na sehemu kubwa walioko kwa serikali wana taka kudhulumu CORD HILO NIJAMBO LISILO KUBALIKA KABISA

No comments:

Post a Comment