Tuesday 5 March 2013

KUPAMBANA NA UMASIKINI NI.....

      Kupambana na ukoloni mambo leo ambao unaletwa au umekuzwa ni wachache baina yetu watu ambao hawajali masikini na wengi wanakufa kwakukosa tiba,chakula na utovu wa usalama

      Umoja mshikamano na amani ndio kitu kitatukomboa kutoka dimbwi hili tulilo nalo la umasikini iwapo tuna shida zinazo fanana iweje tusiwe pamoja kutetea haki

No comments:

Post a Comment