Wakenya twaelewa kua ni nguvu za pesa na masikini ivyo sisi masikini shida zetu zitulete pamoja ili kumuokoa Raila Amollo
Uiona chochote mjulishe mwezako ila usimusingizie mwanzako kwakua sisi tunajua sote tu safarini uwezi jua safari yako itakua lini
Nausifikiri wewe mimi au yule akiwa mzima ndio sitokufa au mtu akiwa na umri mdogo kifo akichagui,ndio maana nasema sema ukweli mandiko imetukanya
USI MSINGIZIE JIRANI WAKO URONGO NA SISI WAISLAMU TUMEKANYWA KUZUA

No comments:
Post a Comment