Saturday 2 March 2013

Msimukatishe Raila ametoka mbali

Nijambo lakukatisha tamaa kuona pesa inavyo nguvu Raila hana pesa nyingi kama mpinzani mkuu Uhuru lakini tuelewe mtoto wanyoka ni nyoka

Nikiwa na maana kua nyoka akiwa mtoto afundishwi kuuma.

Je mlimuona alivyo taka kugomea mdahalo?

Nyote ni mashahidi wa alivyo shuhulikia lile swala la Sonko Shebesh na Waititu

hivi hivi J.M.Kariuki aliitwa na atukumuona tena uliza wazee swala la J.M Kariuki na ulize alikuwa vipi uyu Jomo Kenyatta

No comments:

Post a Comment