Saturday 9 March 2013

IEBC YA IRIDH ECK KWA MATENDO

      IEBC imerithi ECK tena wengi wasema hii IEBC ndio imefaidi sana ECK official walikula milioni 1 kila mtu hii nasikia imefikia mabilioni yametumika toka mashinani mpaka apa
     Baadhi ya wakala wa CORD walikua wanapewa pesa mpaka mtu analia kwa furaha

No comments:

Post a Comment