Nivizuri kujua na kujifunza kujitegemea kimawazo na kivitendo nakujua kuchambua mambo hili liko hivi kwanini na kwanini hiki kimetokea haya namengine mengi ya msingi wakujikomboa kutoka kwa mikono ya mafisadi iwapo tuko teyari kujikomboa.
Si jambo la busara kulalamika bila ya ukweli unapopata ukweli ndipo ulalamike kwakua hakuna mtu au nchi yeyote ambayo yaweza pingana na ukweli
Tuajiribu kujiteangea dakika 5 ukisikia kitu unachambua uyu kwanini amesema hivi au ananini au kusudio lake ni nini?

No comments:
Post a Comment