Wednesday 6 March 2013

Vuguvugu Tuvuke,liliwekwa makusus kwa ivi linavyo fanya sasa kutuliza mambo ili wavyke na Uhuru

       Niwazi kua Jubilee ilikua imejiandaa vilivyo,Mnasikia ili linalo jiita vuguvugu la tuvuke ni sawa na K24 "K" Usemekana ni Kikuyu,namimi nakubaliana nawalio gundua hili.

      Nitabia ya mafisadi kujiandaa kwakutumia NGO's na Wanaharakati nachochote kile ili muradi wasiondoke kwa utawala.

     Nyote ni mashahidi ya nauli zilizo pandishiwa waliokua wanakwenda nyumbani kupi kura.huu sio utu kwakua wao ndio wangekua wakwanza kusaidia wakenya kwenda kupiga kura lakini walipandisha maradufu


       Sehemu ya 350ksh wamelipisha 800ksh au 1000ksh.hii haikua haki na huu niunyama

Lakini niwakumbushe tu Western KENYA NIWAPONGEZE BODABODA WALIJITOLEA NAKUSAFIRISHA WATU BURE HUU NIMFANO WA KUINGWA NI KILA MKENYA MWENYE KUMUOGOPA MUNGU NA KUJUA KUA KENYA KWANZA.

Nijambo lakutia moyo napongezi watu wa KISUMU BONDO NASEHEMU ZOTE MULIZO SAIDIA RAIYA

        MUNGU AWABARIKI

No comments:

Post a Comment